Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 40:
Bayer hakupanga ufuatano kikamilifu jinsi sisi tunavyoona mwangaza leo hii. Wakati mwingine alipanga nyota zenye mwangaza wa kufanana pamoja na kuzipa herufi kuanzia kushoto kwenda kulia au kutoka juu kwenda chini.
Kama kundinyota lilikuwa na idadi kubwa ya nyota kushinda idadi ya herufi za [[alfabeti ya Kigiriki]] aliendelea kutumia [[herufi za Kilatini]] kama a-b-c.
[[Picha:Constellations ecliptic equirectangular plot.svg|400px|thumb|Mpangilio wa anga lote kwa makundinyota kufuatana na Delporte na [[Ukia]]]].▼
Mfumo wa Bayer ulionekana kuwa na kasoro hasa tangu kuboreka kwa darubini kwa sababu idadi ya nyota zilizoweza kutambuliwa iliongezeka mara kwa mara. Hapo kulikuwa na mifumo mbadala iliyofuata kwa mfano ule wa [[namba za Flamsteed]]. Pamoja na maendeleo ya darubini idadi za nyota zilizoweza kutofautishwa imezidi kuongezeka. Leo hii nyota nyingi hutajwa kufuatana na orodha mbalimbali zenye nyota mamilioni lakini hata hivyo majina ya Bayer hutumiwa hadi leo kwa nyota angavu zaidi.
==Matumizi ya kundinyota katika astronomia==
▲[[Picha:Constellations ecliptic equirectangular plot.svg|400px|thumb|Mpangilio wa anga lote kwa makundinyota kufuatana na Delporte na [[Ukia]]]].
Astronomia imeshatambua ya kwamba kundinyota halipo hali halisi ni namna ya kupanga nyota tu tukitazama kutoka kwetu duniani; hali halisi hazipatikani mahali pamoja au pa karibu katika [[anga
Mfano mashuhuri ni nyota iliyo karibu na
Wanaastronomia wanatumia zaidi mfumo wa digrii zinazolingana na utaratibu wa [[latitudo]] na [[longitudo]] hapa duniani wakitaka kutaja mahali kamili pa nyota. Lakini hadi leo kundinyota ni msaada wa kujua eti nyota fulani au nyotamkia inapatikana katika eneo gani kwenye anga ya usiku. Hii ni sawa na kusema "mji fulani uko kaskazini-magharibi ya Afrika" kabla ya kutaja kikamilifu mahali pake kwa longitudo na latitudo.
Mstari 55:
<sup>Tazama pia makala: [[Kundinyota zote za UKIA]]</sup>
Mwanzo wa karne ya 20 mpangilio wa kundinyota haukuridhisha kwa sababu sehemu za mipaka kati ya kundinyota hazikueleweka vema. Hivyo mkutano mkuu wa kwanza wa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (IAU) mwaka 1922
== Kundinyota na utabiri katika [[Unajimu]] ==
Majina asilia ya buruji za falaki ni:
*[[Hamali (kundinyota)|Hamali (pia: Kondoo)]] ([[ing.]] [[:en:Aries|Aries]]) ▼
*[[
*[[
*[[
*[[
*[[
▲*[[
*[[Mizani (kundinyota)|Mizani]] (ing. [[:en:Libra|Libra]])
*[[Akarabu (kundinyota)|Akarabu (
*[[Kausi (kundinyota)|Kausi (
*[[Jadi (kundinyota)|Jadi (
*[[Dalu (kundinyota)|Dalu (
*[[Hutu (kundinyota)|Hutu (
Katika unajimu wa siku hizi majina mengi ya kimapokeo yamesahauliwa katika unajimu wa Afrika ya Mashariki na badala yake wapiga falaki wanatumia orodha ya majina ambayo mara nyingi ni tafsiri ya majina ya Kiingereza tu au pia namna ya kutaja alama ya kundinyota kwa neno la Kiswahili.
# Kondoo (Aries): Machi 21 – Aprili 19
# Ng’ombe (Taurus): Aprili 20 – Mei 21
Line 88 ⟶ 89:
==Tazama pia==
[[
==Marejeo==
|