Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 53:
 
==Kundinyota katika astronomia ya kisasa==
<sup>Tazama pia makala: [[KundinyotaMakundinyota zote88 zaya UKIA]]</sup>
 
Mwanzo wa karne ya 20 mpangilio wa kundinyota haukuridhisha kwa sababu sehemu za mipaka kati ya kundinyota hazikueleweka vema. Hivyo mkutano mkuu wa kwanza wa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (IAU) mwaka 1922 ulifafanua idadi ya kundinyota kuwa 88<ref>[http://www.ianridpath.com/iaulist1.htm "The IAU list of the 88 constellations and their abbreviations" ya mwaka 1922], iliangaliwa Mei 2017</ref>. Mwanaastronomia [[Eugène Delporte]] kutoka [[Ubelgiji]] alipewa kazi ya kupanga eneo lote la anga kwa makundi na kuchora mipaka kati ya kundinyota. Tokeo la kazi yake lilikubaliwa kwenye mkutano mkuu wa mwaka 1928.