Parsek : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 19:
* Parsek inalingana na takriban miaka ya nuru 3.26
* Nyota iliyo karibu zaidi na Jua letu ni [[Proxima Centauri]], sehemu ya mfumo wa Alpha Centauri ([[Rijili Kantori]]) ina umbali wa parsek 1.30 ([[miakanuru]] 4.24)
* Umbali wa [[fungunyota]] yala [[Kilimia]] ni 130±10 pc (miakanuru 420±32.6)
* Kitovu cha [[Njia Nyeupe]] (galaksi yetu) kina umbali wa kiloparsek 8 (miaka ya nuru 26.000) kutoka Dunia; Njia Nyeupe huwa na kipenyo cha takriban 34 kpc (miakanuru 110.000)
* [[Galaksi]] jirani ya [[Andromeda]] iko kwa umbali wa 780 kpc (miakanuru milioni 2.5) kutoka Dunia