Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Kundinyota" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 12:
Hali halisi nyota hizi hazina uhusiano kati yake, zinaonekana tu kama kundi kwa mtazamaji aliye duniani lakini haziko mahali pamoja katika [[anga ya nje]]. Zinaweza kuwa mbali sana kutoka nyota nyingine inayoonekana iko ndani ya kundinyota ileile.
 
Hivyo kundinyota ni tofauti na [[fungunyota]] ''([[:en:star cluster]])'' ambayoambalo ni idadi kubwa ya nyota zilizopo kweli karibu eneo moja angani. Ila tu kwa [[jicho]] tupu fungunyota linaonekana kama nyota moja tu au halionekani kutokana na [[umbali]], zimetambuliwa kwa [[darubini]] tu. [[Kilimia]] (''Pleiades'') ni fungunyota la pekee linaloweza kutambuliwa bila msaada wa mitambo na hivyo ni maarufu kama kundinyota pia.
 
Kwa jumla ulikuwa msaada wa kutofautisha maeneo angani kama nyota ziliweza kutajwa kuwepo katika eneo la kundinyota fulani linalokumbukwa kwa rahisi kutokana na ruwaza ya nyota.