Chura (nyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Chura (nyota)" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa mnyama mwenye jina hili angalia hapa [[Chura]]</sup>
 
[[Picha:Ketusi _Cetus.png|400px|thumb|Chura (Diphda) katika kundinyota yakelake yala Ketusi – Cetus jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji wa Afrika ya Mashariki]]
'''Chura''' ([[ing.]] na [[lat.]] '''Diphda''' pia '''<big>β</big> Beta&nbsp;Ceti''', kifupi '''Beta Cet''', '''β&nbsp;Cet''') ni nyota angavu zaidi katika kundinyota la [[Ketusi (kundinyota)|Ketusi]] (''[[:en:Cetus (constellation)|Cetus]]''). Ni pia nyota angavu ya 14 kwenye anga ya usiku. [[Mwangaza unaoonekana]] unacheza kati ya [[mag]] 0.75 na 0.95.
Mstari 10:
Kwa matumizi ya kimataifa [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] ulifuata mapokeo ya Kiarabu na kuorodhesha nyota hii kwa jina la "Diphda" <ref>[https://www.iau.org/public/themes/naming_stars/ Naming Stars], tovuti ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] (UKIA), iliangaliwa Novemba 2017</ref> .
 
Chura hutajwa kwa [[jina la Bayer]] kama <big>β</big> Beta Ceti yaani kwenye nafasi ya pili ingawa ni nyota angavu zaidi katika kundinyota yake.
lake.
 
==Tabia==