Dabarani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tauri Taurus.png|400px|thumb|Dabarani (Aldebaran) katika kundinyota yakelake yala jinsi [[Ng'ombe (kundinyota)|Ng’ombe]] (zamani Tauri, [[lat.]] ''Taurus'') kwa mtazamaji wa Afrika ya Mashariki]]
[[Picha:Dabarani-Jua.png|350px|thumb|Ulinganifu wa ukubwa baina ya Aldebaran (Dabarani) na Jua; hata hivyo masi halisi ya Dabarani inafanana na Jua]]
'''Dabarani''' ([[ing.]] na [[lat.]] '''Aldebaran''' pia '''<big>α</big> Alpha&nbsp;Tauri''', kifupi '''Alpha Tau''', '''α&nbsp;Tau''') ni nyota angavu zaidi katika kundinyota yala [[Tauri (kundinyota)|Tauri]] (''[[:en:Taurus (constellation)|Taurus]]''). Ni pia nyota angavu ya 14 kwenye anga ya usiku. [[Mwangaza unaoonekana]] unacheza kati ya mag 0.75 na 0.95.
 
==Jina==
Mstari 12:
Dabarani ni nyota ya karibu kiasi ikiwa umbali wake na Dunia ni [[miaka ya nuru]] 65 -66 <ref> Gatewood, George (July 2008)</ref> . Masi yake ni [[M☉]] 1.5- na nusukipenyo chake [[R☉]] 45 (vizio vya kulinganisha na Jua letu) <ref> Hatzes, A.; Cochran, W. (1993). wanataja [[parsek]] 20.43, taz. chini</ref>.
 
Ni [[nyota jitu jekundu]] katika [[kundi la spektra]] K5 III. Ilhali masi yake ni kidogo tu kubwa kuliko [[Jua]] letu kipenyo chake ni kubwa zaidi mara 45 na sababu yake ni ya kwamba jitu jekundu ni nyota iliyopanuka baada ya kuishiwa hidrojenihaidrojeni katika kitovu chake; katika hali hii kitovu cha nyota kinajikaza na myeyungano wa hidrojenihaidrojeni unahamia kwenye tabaka za nje za nyota. Hii inasababisha kupanuka kwa nyota na kuongezeka kwa mwangaza wake.
 
==Tanbihi==