Dalufnin (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Dalufnin Delphinus.png|thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Dalufnin (Delphinus) katika sehemu yao ya angani]]
[[Image: Delphinus_IAU.svg|thumb|right|400px|Ramani yala kundinyota Dalufnin - Delphinus (kwa macho ya mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini ya Dunia)]]
 
'''Dalufnin''' ('''[[:en:Delphinus|Delphinus]]''' kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]]) <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Delphinus" katika lugha ya [[Kilatini]] ni " Delphini " na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Delphini, nk.</ref>. ni [[jina]] la [[kundinyota]] ndogo ya [[angakaskazi]].