Roho : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Roho''' ni [[umbile]] la pekee lisiloonekana ambalo linasadikiwa kuwemo pamoja na [[mwili]] katika [[binadamu]] na kuunda hasa [[malaika]] (ambao kati yao wale wabaya wanaitwa ma[[shetani]]).
Katika [[lugha]] mbalimbali umbile hilo linafananishwa na [[upepo]] au [[pumzi]].
[[Mungu]] mwenyewe anasadikiwa kuwa roho bora. Kwa namna ya pekee [[Ukristo]] unasadiki moja ya [[nafsi]]
Pengine roho inafikiriwa kueleza tofauti kubwa mno ambayo inajitokeza kati ya binadamu na [[sokwe]] na [[wanyama]] wengine wote upande wa [[akili]] na [[utendaji]], na ambayo haielezwi vya kutosha na tofauti katika [[DNA]] zao.
{{mbegu-dini}}
|