Mzungu Kichaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Diskografia: Hustle na Relax
No edit summary
Mstari 26:
 
== Shughuli za Muziki ==
Mwishoni mwa miaka ya 1990 Espen Sørensen alikuwa miongoni mwa wasanii wa mwanzo kabisa kurekodi katika Studio ya Bongo Records huko mjini [[Dar Es Salaam]]. Wengineo walikuwepo kina [[Juma Nature]], [[TID]], [[Mangwair]], [[Ferooz]] na [[Professor Jay]]. Wakati huo ilikuwa pia, ndipo alipopata jina lake la kisanii la Mzungu Kichaa.<ref name="eastandard.net">[http://www.standardmedia.co.ke/archives/InsidePage.php?id=1144006484&cid=123 Mzungu Kichaa: Danish with love for African music</ref> Kwa bahati mbaya hakuonekana katika orodha ya wasanii chipukizi wa Tanzania kwa kipindi hicho, lakini pia alifanikiwa kufanya viitikio kadha wa kadha katika nyimbo kibao kwa kipindi cha mwaka wa 2001.<ref>[http://www.africanhiphop.com/musicvideos/mzungu-kichaa Mzungu Kichaa]</ref>
 
Baadaye akaenda zake nchini Uingereza kusomea masuala ya Utamaduni wa Muziki na Anthropolojia. Baada ya kumaliza elimu ya masomo ya Kiafrika, akarudi tena katika shughuli zake za muziki, na kuanzisha kundi lililoitwa Effigong mnamo 2006. Mwaka wa 2008, kaamua kuwa msanii wa kujitegemea hadi kufanikiwa kutoa albamu yake ya kwanza kunako mwaka wa 2009 katika studio ya kujitegemea iliyoitwa [[Caravan Records]].<ref name="Biography">[http://www.myspace.com/mzungukichaa Biography<!-- Bot generated title -->]</ref>