Liturujia ya Canterbury : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Cantercross.svg|right|thumb|280px|[[Msalaba]] wa Canterbury.]]
{{Kanisa Katoliki}}
'''Liturujia ya Canterbury''' ni [[madhehebu]] yanayoendeleza mambo bora ya [[Anglikana]] ndani ya [[Kanisa la Kilatini]].
ndani ya [[Kanisa la Kilatini]].
 
Mwaka [[2011]] na [[2012]] [[Papa Benedikto XVI]] alianzisha ma[[jimbo]] matatu kwa Waanglikana walioamua kujiunga na [[Kanisa Katoliki]] kama [[Kundi|makundi]].
 
La kwanza lilianzishwa kwa wale wa [[Uingereza]] na [[Wales]] (lakini pia [[Uskoti]]), la pili kwa wale wa [[Marekani]] (baadaye liliongezewa wale wa [[Kanada]])<ref name="decree">{{cite paper | title = Decree of Erection of the Personal Ordinariate of the Chair of Saint Peter | url = http://www.usordinariate.org/images/CSP_Decree.pdf | last = Cardinal Levada | first = William | publisher = Holy See | date = 1 Januari 2012}}</ref><ref name=NewUSAnglicanOrdinariate>{{cite web|first=Michelle|last=Bauman|title=New U.S. Anglican Ordinariate Has an Ordinary|date=3 Januari 2012 (1 Januari 2012 print edition)|publisher=EWTN News, Inc|work=National Catholic Register|url=http://www.ncregister.com/daily-news/new-u.s.-anglican-ordinariate-has-an-ordinary?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+NCRegisterDailyBlog+National+Catholic+Register#When:2012-01-3|accessdate=2012-01-06}}</ref>, la tatu kwa wale wa [[Australia]] (halafu pia [[Japani]]). Jumla ya waamini ni 12,200, ambao wanazidi kuongezeka haraka chini ya [[padri|mapadri]] 162, wengi wao wakiwa na [[ndoa]].
Line 10 ⟶ 9:
Kila mojawapo linaongozwa na padri mwenye [[ndoa]] aliyewahi kuwa [[askofu]] wa Kianglikana, isipokuwa lile la Marekani ambalo limepewa askofu wa kwanza ambaye ni [[mseja]].
 
Kabla ya hapo kulikuwa na [[parokia]] tu za namna hiyo huko Marekani na [[Kanada]], zikifuata [[hati]] maalumu ya [[Papa Yohane Paulo II]] ya [[tarehe]] [[20 Juni]] [[1980]],<ref name=Stetson>[http://www.pastoralprovision.org/history William H. Stetson, "History of the Pastoral Provision"]</ref><ref name=Barker>[http://www.google.com/search?tbm=bks&tbo=1&q=%22Jack+D.+Barker%22+%22a+history+of+the+pastoral%22&btnG= Jack D. Barker, "A History of the Pastoral Provision for Roman Catholics in the USA", chapter 1 of Stephen E. Cavanaugh, ''Anglicans and the Roman Catholic Church'' (Ignatius Press 2011 ISBN 9781586174996)]</ref><ref name=Office>[http://www.pastoralprovision.org/ Office of the Ecclesiastical Delegate for the Pastoral Provision]</ref>
 
Tarehe [[9 Desemba]] [[2009]], Benedikto XVI alitoa hati ''[[Anglicanorum Coetibus]]'', iliyoweka taratibu za uanzishaji wa majimbo yasiyopakana na majimbo ya kawaida ya Kilatini kwa Wakristo wa namna hiyo<ref>[http://ncronline.org/news/faith-parish/new-ordinariate-and-1980-pastoral-provision-analysis Jerry Fiteau, "New ordinariate and 1980 pastoral provision: An analysis"]</ref>, na kufikia mwisho wa mwaka [[2015]] parokia zote zilizoanzishwa kabla ya hapo isipokuwa 2 zimejiunga na jimbo la Kimarekani. Mkutano maalumu kwa ajili hiyo ulifanyika tarehe 8-10 Novemba 2012<ref>[http://anglicanuseconference.com/ 2012 Anglican Use Conference]</ref>.
 
Kwa niaba ya [[Papa]], [[Idara ya Ibada ya Kimungu]] ilipitisha ''the Book of Divine Worship'' kwanza kwa muda mwaka [[1984]], halafu moja kwa moja mwaka [[1987]].<ref name=Barker/> Kuanzia tarehe [[29 Novemba]] [[2015]] nafasi yake imeshikwa na "Divine Worship: The Missal".
 
Ibada nyingine kwa ajili ya [[ndoa]] na [[mazishi]] zilipitishwa na idara hiyo tarehe [[22 Juni]] [[2012]]<ref>http://www.anglicanuse.org/</ref>.