Dodoma (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 29:
 
== Historia ==
Dodoma ilianzishwa mwaka 1910<ref>Deutsches Kolonial-Lexikon (1920), vol I, uk. 529 ff., makala "Eisenbahnen" ( I. Deutsch-Ostafrika, b) Mittellandbahn)([http://www.ub.bildarchiv-dkg.uni-frankfurt.de/Bildprojekt/Lexikon/php/suche_db.php?suchname=Eisenbahnen online hapa])</ref> wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] kama kituo kwenye reli ya kati penye [[karahana]] ya reli. Tangu mwaka [[1912]] imekuwa makao makuu ya [[Mkoa wa Dodoma (DOA)|Mkoa wa Dodoma wa D.O.A.]].
 
Mwaka [[1913]] Dodoma ilikuwa na [[posta]], [[simu]], [[hoteli]] na [[duka|maduka]] 26 (moja ya [[Mzungu]], mengine ya [[Wahindi]] na [[Waarabu]]). Kikosi cha [[polisi]] kilikuwa na [[askari]] 59.