Wikipedia:Umaarufu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
*Labda babako au shangazi walikuwa watu muhimu sana katika maisha yako. Ukweli huu hauundi bado umaarufu wa kutosha wa kustahili makala hapa.
*Ulianzisha jana bendi au klabu mpya. Mnasikia uhakika ya kwamba mtakuwa watu maarufu kabisa. Lakini leo bado hamjafika hata kidogo. Basi bendi au klabu haistahili bado makala ya wikipedia.
 
==Kanuni ya kimsingi kuhusu umaarufu kwenye Wikipedia==
Mada au mtu anastahili makala kama
* imeshajadiliwa kwa kiwango fulani
* katika vyanzo vinavyoweza kutegemewa
* tena vyanzo visivyotungwa na wenyewe
 
==Vyanzo, ushuhuda==