Wikipedia:Umaarufu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 7:
 
==Kanuni ya kimsingi kuhusu umaarufu kwenye Wikipedia==
Mada (au mtu) anastahiliinastahili makala kama masharti matatu yanatimizwa:
* imeshajadiliwa katika jamii kwa kiwango fulani (si mara ya kwanza hapa wikipedia!)
* katika vyanzo vinavyoweza kutegemewa (si facebook, twita, tovuti ya binafsi tu)
* tena vyanzo visivyotungwa na wenyewe (si tovuti ya wenyewe, matangazo yao)
 
==Vyanzo, ushuhuda==