Wikipedia:Umaarufu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
Mstari 16:
 
'''Kipimo muhimu''' ni: Je kuna habari kuhusu kichwa (lemma) katika gazeti, kitabu au tovuti (ambayo si tovuti ya mwenyewe) inayotaja jambo linalojadiliwa?
Vyanzo vya aina hii vinatakiwa kutajwa ama kwa umbo la tanbihi (footnote) au katika fungu la marejeo, ama kwa kutaja kitabu (jina lakitabula kitabu, mwandishi, kampuni iliyokotoa, mwaka wa kuchapishwa, ukurasa alipotajwa), gazeti (pamoja na tarehe, jina la gazeti, mahali pake, jina la makala, tarehe ) au kiungo cha intaneti.
 
Ukihitaji maelezo marefu zaidi: ujisomee kwa Kiingereza hapa: [https://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Notability Wikipedia:Notability]