Mtumba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Mtumba''' ni [[jina]] la [[kata]] ya [[Dodoma Mjini]] katika [[Mkoa wa Dodoma]] , [[Tanzania]]. Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika [[mwaka]] wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 17268 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Dodoma - Dodoma MC]</ref> waishio humo.
 
==Makao makuu ya serikali==
Eneo la Mtumba limechaguliwa kuwa na majengo ya [[makao makuu]] mapya ya [[serikali]] zaya Tanzania. <ref>[https://habarileo.tsnapps.go.tz/news/2018-11-205bf3cf9dbee5a.aspx Project to set up govt seat in Mtumba starts], tovuti ya Habari Leo (gazeti la kiserikali), kufuatana na taarifa ya Daily News 20.11.2018</ref>. Eneo lililoandaliwa lina [[hektari]] 617 na [[wizara]] zote zieshapokeazimeshapokea viwanja mnamo [[Aprili]] [[2019]].<ref>[https://www.thecitizen.co.tz/News/New-capital-takes-shape-as-Magufuli-unveils-govt-offices/1840340-5070304-l64ds1z/index.html New capital takes shape as Magufuli unveils govt offices], taarifa ya The Citizen Saturday April 13 2019</ref>
 
==Marejeo==