Rijili Kantori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
}}
 
'''Rijili Kantori''' , '''Rijili Kantarusi''' au [[ing.]] '''Alpha Centauri''' ''(pia: Toliman au Rigil Kentaurus)'' ni [[nyota]] inayong'aa sana katika anga ya kusini kwenye [[kundinyota]] la [[Kantarusi]] ''(pia: [[ing.]] [[:en:Centaurus|Centaurus]])''. Ni nyota ya kungaakung'aa sana ya nne angani lakini haionekani kwenye nusudunia ya kaskazini.
 
Alpha Centauri ni nyota ya pekee kwa sababu ni nyota yetu jirani katika anga ina umbali wa [[miakanuru]] 4.2. Inaonekana angani karibu na kundinyota la Salibu (Crux).