Tofauti kati ya marekesbisho "Joseph Butiku"

7 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
|mengine=
| }}
'''Joseph Waryoba Butiku''' (alizaliwa tar.) ni [[mkurugenzi mtendaji]] na [[rais]] wa [[Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere]] (inayojulikana pia kama ''Mwalimu Nyerere Foundation'') na ni msaidizi wa [[utafiti]] binafsi na mjumbe binafsi [[Tanzania]]. <ref>https://www.juliusnyerere.org/uploads/nyerere_lifetime_legacy_joseph_butiku.pdf</ref>
 
==Maisha==
Vilevile aliweza kuwa [[katibu mkuu]] wa faragha na Mkuu wa Wafanyakazi chini ya Rais [[Alli Hassan Mwinyi]].
 
Alikuwa [[Katibu mkuu]] wa Chama cha Mapinduzi [[CCM]] kanda ya [[mkoa wa Mara]] na baadaye alikuwa Kamishna wa kikanda. <ref>https://www.juliusnyerere.org/uploads/nyerere_lifetime_legacy_joseph_butiku.pdf</ref>
 
==Marejeo==
{{reflist}}
{{mbegu-siasa}}
==Marejeo==
 
[[Jamii:Wanasiasa wa Tanzania]]
[[Jamii:Watu walio hai]]