Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sun920607.jpg|thumbnail|Jua]]
'''Jua''' ni mwanga mkubwa tunayoona angani wakati wa mchana. Ni [[nyota]] iliyoko karibu na [[Dunia]] yetu kuliko nyota nyingine zote. Jua ni [[kitovu]] cha [[mfumo wa Jua]] likizungukwa na [[sayari]] [[nane]]. [[Dunia]] ni moja ya sayari hizo katika [[mfumo wa Jua]] na sayari zake.
 
==Umbo la Jua==
Mstari 12:
Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa Jua lilitokea takriban miaka [[bilioni]] 4.57 iliyopita kutoka [[wingu]] kubwa la [[molekuli]] lililoundwa na asilimia kubwa za hidrojeni.
 
Kama nyota zote Jua linapita kwenye ngazi mbalimbali za [[maisha]] yake. [[Wataalamu]] wengi hukadiria ya kwamba baada ya miaka bilioni 5 ijayo [[akiba]] ya hidrojeni katika kitovu cha Jua itapungua,. Halafu Jua litapanuka sana na kuwa [[jitu jekundu]]<ref>[https://www.space.com/22471-red-giant-stars.html Nola Taylor Redd, Red Giant Stars: Facts, Definition & the Future of the Sun ], tovuti ya space.com, March 27, 2018, iliangaliwa Aprili 2018</ref>;. katikaKatika hali hii inaweza kuenea hadi njia ya [[obiti]] ya [[Zuhura]] na hakuna nafasi tena kwa [[uhai]] duniani kutokana na [[mnururisho]] mkali.
 
Wataalamu wanatofautiana katika makadirio yao kama upanuzi huu utasababisha pia kupotea kabisa kwa sayari za [[Utaridi]], [[Mirihi]] na [[Dunia]] zikimezwa na kuingia ndani ya Jua.<ref>[https://arxiv.org/abs/0801.4031 Klaus-Peter Schroder, Robert C. Smith , Distant future of the Sun and Earth revisited], Monthly Notices of the Royal Astronomical Society. 000, 1–10 (2008) Printed 3 February 2008 </ref>