Tofauti kati ya marekesbisho "Kaa (kundinyota)"

no edit summary
d (Protected "Kaa (kundinyota)" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)))
[[Image: Saratani Cancer.png |thumb|right|400px|Nyota za kundinyota SarataniKaa (pia Saratani, lat. Cancer) katika sehemu yao ya angani]]
<sup>Kwa ugonjwa yenye jina hili angalia hapa [[Saratani]]</sup>
[[Picha:Cancer constellation map.png|400px|thumb|Ramani ya SarataniKaa - Cancer jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini]]
 
'''Kaa''' (pia: Saratani au <small>[[lat.]]</small>&<small>[[ing.]]</small> '''[[:en:Cancer (constellation)|Cancer]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cancer" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Cancris" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cancris, nk.</ref> kwa Kilatini/Kiingereza) ni [[kundinyota]] la [[zodiaki]]. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
[[Image: Saratani Cancer.png |thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Saratani (Cancer) katika sehemu yao ya angani]]
[[Picha:Cancer constellation map.png|400px|thumb|Ramani ya Saratani - Cancer jinsi inavyoonekana kwa mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini]]
 
'''Kaa''' (pia: Saratani au '''[[:en:Cancer (constellation)|Cancer]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cancer" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Cancris" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cancris, nk.</ref> kwa Kilatini/Kiingereza) ni [[kundinyota]] la [[zodiaki]]. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
[[Nyota]] za Kaa huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi.
 
==Jina==
Mabaharia Waswahili waliitawalijua nyota hizi tangu miaka mingi kwa jina la Saratani wakizitumia kutafuta njia baharini wakati wa usiku.<ref>ling. Knappert 1993</ref>
 
Jina la Saratani linatokana na Kiarabu <big>سرطان </big> ''sartan'' linalomaanisha kaa<ref>Ugonjwa wa saratani au kansa ulipokea jina lake kwa sababu matibabu wa Ugiriki ya Kale waliona uvimbe wake unafanana na miguu ya mnyama kaa.</ref>. Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Wagiriki wa Kale]] waliosema Καρκίνος ''karnikos'' kwa maana hiyohiyo na hao walipokea kundinyota hili tayari kutoka [[Babeli]] lakini Wababeli waliiona kama alama ya kobe maji.
 
 
== Mahali pake ==
Kaa iko angani kwenye mstari wa [[Zodiaki]] kati ya [[Mapacha (kundinyota)| Mapacha]] ''(zamani Jauza, <small>[[lat.]]</small> [[:en:Gemini|Gemini]])'' upande wa magharibi na [[Simba (kundinyota)| Simba]] ''(zamani Asadi, <small>[[lat.]]</small> [[:en:Leo|Leo]])'' upande wa mashariki.
 
== Magimba ya angani ==