Wahaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 3:
[[Lugha]] yao ni [[Kihaya]].
 
Kabila hilo ndilo linalojulikana kuliko yote ya mkoa wa Kagera, ila ndani yake kuna vijikabila vidogovidogo, kama vile Waziba wa [[Kiziba]], Wahamba wa [[Muhutwe]], Wayoza na Waendangabo wa [[Bugabo]], Wanyaiyangilo wa [[Muleba]], Wasubi wa [[Biharamulo]],wanyambo Wanyambo wa [karagwe[Karagwe]] na kyerwa[[Kyerwa]].
 
Tofauti kati ya vijikabila zinatambulika kutokana na mabadiliko madogo madogo tu ya maneno na pia [[lafudhi]] ya Kihaya ya hiyo sehemu, [[chakula]], [[ngoma za asili]], majina ya asili,. n.k.
 
mfanoMfano:- (Kiswahili=[[Kiazi kitamu|Viazi vitamu]] (Kiswahili) = ebitakuli (Kiziba= ebitakuli) = enfuma (Kihamba, Kiyoza na Kinyaihangilo = enfuma)
 
{{mbegu-utamaduni-TZ}}