Wahaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[Lugha]] yao ni [[Kihaya]].
 
Kabila hilo ndilo linalojulikana kuliko yote ya mkoa wa Kagera, ila ndani yake kuna vijikabila vidogovidogo, kama vile Waziba wa [[Kiziba]], Wahamba wa [[Muhutwe]], Wayoza na Waendangabo wa [[Bugabo]], Wanyaiyangilo wa [[Muleba]], Wasubi wa [[Biharamulo]],. Wengine wanawahesabu mle pia Wanyambo wa [[Karagwe]] na [[Kyerwa]].
 
Tofauti kati ya vijikabila zinatambulika kutokana na mabadiliko madogo madogo tu ya maneno na pia [[lafudhi]] ya Kihaya ya hiyo sehemu, [[chakula]], [[ngoma za asili]], majina ya asili.