Tofauti kati ya marekesbisho "Kisuke"

184 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
kuondoa majina ya madiwani
(kuondoa majina ya madiwani)
 
Hadi mwaka [[2015]] kata ya Kisuke ilikuwa inajumuisha [[vijiji]] zaidi ya 12 ambavyo ni: Kisuke, Kalaba, Nyamilangano, Bukomela, Nussa, Ngokolo, Mitonga, Mapamba, Kawekunelela, Itumbo, Kalaba na Ipilinga. Kata hii ilikuwa ikiongozwa na [[diwani]] Juma Kimisha kwa miaka kumi mfululizo tangu mwaka [[2005]]. Baada ya hapo kata hiyo kubwa iligawanya na kutengeneza kata [[nne]] yaani: Kisuke, [[Nyamilangano]], [[Bukomela]] na [[Mapamba]].
 
Kata ya Kisuke imebaki na vijiji vinne tu: Kisuke ([[makao makuu]] ya kata), Itumbo, Kalaba na Ipilinga. Kwa sasa kata inaongozwa na diwani Paul Golani ([[CCM]]) aliyeshinda [[uchaguzi]] wa mwaka 2015 kwa kumbwaga [[mgombea]] wa [[UKAWA]] Joseph Charkes Mtumwa kwa zaidi ya [[kura]] 300.
 
==Elimu==
Kata ya Kisuke ina [[Shule ya msingi|Shule za msingi]] [[mbili]]: Shule Ya Msingi Kisuke na Shule Ya Msingi Itumbo. Pia kuna mradi wa kujenga [[shule]] nyingine [[mbili]] katika vijiji vya Ipilinga na Kalaba.