Longitudo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:FedStats Lat long sw.png|350px|thumb|Maelezo ya latitudo na longitudo.]]
 
'''Longitudo''' ''([[kilatiniing.]]: longitudolongitude)'' katika ramani au mchoro wa dunia ,ni njia ya kuonyesha mahali duniani kwa kutaja umbali wake kutoka mstari wa [[meridiani ya sifuri]] kwa kipimo cha digrii ('''°'''). Kwenye msingi wa digrii 360 za duara digrii hizi za latitudo huehesabiwa hadi +180° (kwenda mashariki) au hadi -180° (kwenda magharibi). Ni kawaida vilevile kutaja tofauti kati ya longitudo za mashariki au magharibi kwa kuongeza herufi za "E" (east) na "W" (west) badala ya +/-. Pamoja na kipimo cha [[latitudo]] inataja kamili kila mahali duniani.
 
Meridiani ya 0° imekubaliwa ni mstari kutoka [[ncha ya kaskazini]] hadi [[ncha ya kusini]] unaopita katika mji wa [[Greenwich]] (karibu na [[London]] / [[Uingereza]]).