Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 2:
'''Tamthilia''' (pia: '''Tamthiliya''' au '''Tamthilia-Mchezo''', kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni moja kati ya sehemu za [[utunzi]] wa [[hadithi]] au [[fasihi simulizi]] ([[ngano]] au hadithi) ambayo mara nyingi tunaona katika kumbi za maonyesho au kupitia [[televisheni]], au tunasikia kupitia [[redio]].
 
Tamthilia Kama kazi ya sanaa, uandikwa kwa kutumia ubunifu wa mipangilio ya wahusika, stori na matukio hili kuleta radha yenye utamanishi. By frank manshyne
https://www.facebook.com/frankmanshine/
 
Tamthilia au mchezo mara nyingi huwa mazungumzo baina ya watu, na kwa kawaida huwa mchezo hatuutazami katika televisheni tu, bali hata kuna watu wengine hufuatilia kwa kupitia maandiko yenye tamthiliya hizo na kuzielewa vyema.