Sayari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 53:
 
==Sayari nje ya mfumo wa jua letu==
Wataalamu wa astronomia wamegundua [[sayari za nje]] ([[ing.]] ''exoplanets'') yaani sayari zilizo nje ya mfumo wa jua letu zinazozunguka nyota mbalimbali. Kutokana na umbali mkubwa na matatizo ya utazamaji kwa muda mrefu hakukuwa na uhakika kama nyota kuwa na sayari ni jambo la kawaida angani au kama sayari ni chache tu. Hadi MeiAprili 20182019 kuwepo kwa sayari 34,767048 kumethibitishwa na kati ya hizi mifumo ya sayari 628659 imetambuliwa ambako kuna zaidi ya sayari moja..<ref>[http://exoplanet.eu/catalog Kamusi ya sayari za nje kwenye intaneti, ilizatamiwa 01 Mei 2018]</ref>
 
Nyingi kati ya hizo zilikuwa na ukubwa kufanana na Mshtarii au kubwa zaidi. Lakini sayari ndogo zaidi zimetambuliwa pia. <ref name="Encyclopaedia">{{cite web |title=Interactive Extra-solar Planets Catalog |work=[[The Extrasolar Planets Encyclopaedia]] |url=http://exoplanet.eu/catalog.php |last=Schneider |first=Jean |date=10 Septemba 2011 |accessdate=2018-05-01}}</ref>