Kikokotozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
aliongeza calculator softward
d Masahihisho aliyefanya Pgmyers99 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
 
Mstari 1:
[[Picha:BWK Business gesamt.jpg|thumb|Kikokotozi cha kibiashara.]][[Picha:Sharp Scientific Calculator.jpg|thumb|Kikokotozi cha kisayansi.]]
'''Kikokotozi''' ni [[mashine]] ndogo ya [https://calculator.academy/ [hesabu]] inayotumika kukokotoa mambo mbalimbali yanayohusu hesabu.
 
Mashine hizi zipo za aina nyingi: katika hizi kuna zinazoweza kukokotoa hesabu za kawaida ambazo mara nyingi hutumika [[duka|madukani]] na kwenye [[biashara]] nyinginezo na kuna zinazoweza kukokotoa hesabu za [[fizikia]], [[kemia]] na hesabu ngumu ambazo haziwezi kufanywa na kikokotozi cha kawaida.