Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
d Masahihisho aliyefanya 169.255.184.201 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Mstari 1:
[[Image:Honoré Daumier 026.jpg|right|thumb|400px|[[Mchoro]] unaonyesha namna watu wanavyocheza tamthilia.]]
'''Tamthilia''' (pia: '''Tamthiliya''' au '''Tamthilia-Mchezo''', kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]) ni moja kati ya sehemu za [[utunzi]] wa [[hadithi]] au [[fasihi simulizi]] ([[ngano]] au hadithi) ambayo mara nyingi tunaona katika kumbi za maonyesho au kupitia [[televisheni]], au tunasikia kupitia [[redio]].
 
Tamthilia Kama kazi ya sanaa, uandikwa kwa kutumia ubunifu wa mipangilio ya wahusika, stori na matukio hili kuleta radha yenye utamanishi. By frank manshyne
https://www.facebook.com/frankmanshine/
 
Tamthilia au mchezo mara nyingi huwa mazungumzo baina ya watu, na kwa kawaida huwa mchezo hatuutazami katika televisheni tu, bali hata kuna watu wengine hufuatilia kwa kupitia maandiko yenye tamthiliya hizo na kuzielewa vyema.
Line 20 ⟶ 17:
#[[Simboliki]] - huu unahusu [[fikra]] za uigizaji au mchezo. Watu wachezao katika mchezo si muhimu. Simboliki pia waweza kuitwa kwa jina la kitaalamu kama "expressionistic". Ni kuhusiana zaidi na waongozaji na watunzi wakiwa wanatoa fikra zao katika mchanganuo tofauti.
# [[Tamthiliya za kihistoria]] - mhusika anaibua matukio ya kihistoria; k.m. ''Rise and Fall of Idi Amin Dada.''
# [[Tamthiliya tatizo]] - zinaangazia tatizo linalowakumba wanajamii wakati fulani, kwa mfano, ufisadi. Mifano ya tamthiliya hizi ni k.v. Kigogo (Pauline Kea) na Mstahiki Meya (Timothy Arege).
 
==Mabadiliko na maendeleo ya tamthiliya za Kiswahili==