Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 27:
 
== Mwezi wa Dunia yetu ==
Mwezi wa dunia yetu ni kati ya miezi mikubwa kwenye mfumo wa Jua. Hakuna jina tofauti kuliko "mweziMwezi" isipokuwa watu wametumia pia jina la [[Kilatini]] "[[Luna]]" wakitaja mwezi wetu ili kuutofautisha na miezi ya sayari nyingine. Katikati Wikipedia hi tunajitahidi kuandika "Mwezi" kwa gimba linalozunguka Dunia na ".wezi" Kama habari inahusu sayari nyingine.
 
Mwezi wetu huwa na umbo la tufe lakini si tufe kamili. Kipenyo cha wastani ni kilomita 3,476 ambacho ni takribani robo ya kipenyo cha Dunia. Mwezi unazunguka dunia yetu kwenye [[obiti]] chenye umbo la [[duaradufu]]. Umbali wake na Dunia ni baina ya kilomita 363,300 hadi 405,500 kutoka Dunia.