Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit |
Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 27:
== Mwezi wa Dunia yetu ==
Mwezi wa dunia yetu ni kati ya miezi mikubwa kwenye mfumo wa Jua. Hakuna jina tofauti kuliko "Mwezi" isipokuwa watu wametumia pia jina la [[Kilatini]] "[[Luna]]" wakitaja
Mwezi wetu huwa na umbo la tufe lakini si tufe kamili. Kipenyo cha wastani ni kilomita 3,476 ambacho ni takribani robo ya kipenyo cha Dunia. Mwezi unazunguka dunia yetu kwenye [[obiti]] chenye umbo la [[duaradufu]]. Umbali wake na Dunia ni baina ya kilomita 363,300 hadi 405,500 kutoka Dunia.
Huwa tunaangalia uso wake upande mmoja, tena uleule tu. Sababu yake ni ya kwamba mzunguko wa Mwezi kwenye mhimili wake ni sawa na kipindi cha obiti ya kuzunguka Dunia mara moja. Kipindi cha obiti yake ni siku 27 , masaa 7, dakika 43 na sekunde 11.5. Upande wa nyuma wa
Nuru ya
Uso wa
[[Picha:Earth Moon Scale.jpg|thumb|center|800px|Picha inayoonyesha umbali baina ya
|