Tofauti kati ya marekesbisho "Justiniani I"

9 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
[[image:Mosaic of Justinianus I - Basilica San Vitale (Ravenna).jpg|thumb|250px|Justiniani I anavyoonekana katika [[mozaiki]] ya wakati wake katika [[Basilika]] la [[San Vitale]], [[Ravenna]], [[Italia]].]]
'''Justiniani I''' au '''Justiniani Mkuu''' ([[jina]] kamili kwa [[Kilatini]]: Flavius Petrus Sabbatius Iustinianus Augustus; kwa [[Kigiriki]] Φλάβιος Πέτρος Σαββάτιος Ἰουστινιανός, Flávios Pétros Sabbátios Ioustinianós; [[Tauresium]], [[Dardania]],<ref>''Britannica Concise Encyclopedia'', Encyclopædia Britannica, Inc., 2008, ISBN|1593394926, [https://books.google.com/books?id=ea-bAAAAQBAJ&pg=PA1007 p. 1007.]</ref> leo nchini [[Masedonia Kaskazini]]<ref>''History of the Later Roman Empire from Arcadius to Irene'', Volume 2, J. B. Bury, Cosimo, Inc., 2008, ISBN|1605204056, [https://books.google.com/books?id=wDIJNvWb48YC&pg=PA7 p. 7.]</ref> takriban [[482]] - [[Konstantinopoli]], leo nchini [[Uturuki]], [[14 Novemba]], [[565]]) alikuwa [[kaisari]] wa [[Dola la Bizanti]] kuanzia mwaka wa [[527]] hadi [[kifo]] chake.
 
Justiniani alijitahidi kurudisha [[Dola la Roma]] katika fahari yake ya zamani (''renovatio imperii'', yaani ''kufanya upya dola'') na kwa ajili hiyo alipigania [[Dola la Roma Magharibi|upande wa magharibi]] dhidi ya wavamizi. Hata hivyo alifaulu kiasi tu.<ref>J. F. Haldon, ''Byzantium in the seventh century'' (Cambridge, 2003), 17–19.</ref>
[[Jamii:Makaizari wa Bizanti]]
[[Jamii:Makaizari wa Roma]]
[[Jamii:Watakatifu wa JamhuriMasedonia ya MasedoniaKaskazini]]