Mama Teresa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
== Maisha ==
[[File:Mutter Teresa von Kalkutta.jpg|210px|thumb|left]]
Alizaliwa tarehe 26 Agosti 1910 mjini [[Skopje]] (katika [[Dola la Kituruki]], leo [[mji mkuu]] wa [[Makedonia Kaskazini]]) katika [[familia]] ya [[Waalbania]] akaitwa '''Agnes Gonxha Bojaxhiu'''.
 
Alipofikia [[umri]] wa miaka 18 alijiunga na shirika la [[Masista wa Loreto]] huko [[Ireland]] na mwaka [[1929]] alitumwa Uhindi afundishe kwenye [[shule]] ya masista mjini Kolkata alipoendelea hata kuwa [[mkuu wa shule]].
Mstari 121:
[[Jamii:Tuzo ya Nobel ya Amani]]
[[Jamii:Watakatifu wa Albania]]
[[Jamii:Watakatifu wa JamhuriMasedonia ya MasedoniaKaskazini]]
[[Jamii:Watakatifu wa India]]