Diego Maradona : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|es}} (3) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 22:
}}
 
'''Diego Armando Maradona''' (amezaliwa [[30 Oktoba]] [[1960]]) ni [[mchezaji]] maarufu wa [[mpira wa miguu]] wa zamani kutoka nchi ya [[Argentina]]. Watu wengi wanamchukulia kuwa ni mchezaji bora [[duniani]] kwa wakati wote.
Watu wengi wanamchukulia kuwa ni mchezaji bora duniani kwa wakati wote.
Mwaka 2000 katika zawadi ya mchezaji bora wa karne iliyotangazwa na FIFA, Maradona alikwenda sambamba katika kugombea mchezaji bora wa karne na [[Pele]] baada ya wote kuwa wa kwanza katika uchaguzi wakuchagua ambao FIFA ilitangaza kipitia rai za watu kwenye Internet ili kuchagua mchezaji bora wa [[karne ya 20]].
 
Mwaka 2000 katika zawadi ya mchezaji bora wa karne iliyotangazwa na FIFA, Maradona alikwenda sambamba katika kugombea mchezaji bora wa karne na [[Pele]] baada ya wote kuwa wa kwanza katika uchaguzi wakuchagua ambao FIFA ilitangaza kipitiakupitia rai za watu kwenye Internet ili kuchagua mchezaji bora wa [[karne ya 20]].
Maradona alichezea vilabu vya [[Boca Juniors]], [[FC Barcelona]] na [[SSC Napoli]], na zote hizo alipata zawadi mbali katika vilabu hivyo.
 
Maradona alichezea vilabu vya [[Boca Juniors]], [[FC Barcelona]] na [[SSC Napoli]], na zote hizo alipata zawadi mbalimbalimbali katika vilabu hivyo vyote.
 
==Viungo vya nje==
{{Commons}}
 
{{Mbegu-michezocheza-mpira}}
 
{{DEFAULTSORT: Maradona, Diego}}
[[Jamii:Wachezaji Mpira wa Argentina]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1960]]
[[Jamii:Watu walio hai]]
[[Jamii:Wachezaji Mpirampira wa Argentina]]