Wikipedia:Uharabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Zulu Culture, KwaZulu-Natal, South Africa (20325329170).jpg|thumb|400px|Lete tu uharabu wako, tunakusubiri!!]]
[[Picha:One of the warrior from Kurulu District.jpg|400px|thumb|Uharabu, ee? Huwezi kujificha kwenye intaneti!]]
'''Uharabu''' (kwa [[ing.Kiingereza]]: ''[[:en:Wikipedia:vandalism|vandalism]]'') ni kuharibu [[makala]] za [[wikipedia]] kwa kusudimakusudi kwa kuongeza habari za uwongo au kuondoa habari sahihi. Msimamo na uadilifu wa Wikipedia unahatarishwa na matendo ya aina hii.
 
Uharabu ni tofauti na mabadiliko yanayoingiza makosa; lakini hayaonyeshi nia mbaya.
 
'''Nia mbaya inaonekana kama:'''
* Matinimatini yote au sehemu kubwa ya matini ya makala ikifutwa tu na makala kuhifadhiwa baadabaadaye bila matini au kubaki kwana sehemu chache, tena bila maelezo kwenye ukurasa wa majadiliano yanayoelezakutoa sababu
* kama makala inabadilishwa kwa kuingiza kashfa na matusi
* kuingiza picha zisizo na uhusiano wowote na mada au kulenga kukashifu (kama kuingiza picha za wanyama katika makala kuhusu mtu)
* kuingiza habari bila ukweli kama mzaha au kichekesho (sisi sote tunapenda mzaha mzuri, lakini ikibaki kwenye wikipedia inaunda habari ya uwongo ya kudumu, kwa hiyo hatucheki hapa!)
 
Ukijaribu uharabu kwenye wikipedia kubwa kama enwikien.wiki inawezakanainawezekana utaonywa tu. '''Hapa kwenye Wikipedia ya Kiswahili utafukuzwa haraka sana.''' Maana tuko waratibu wachache mno, kwa hiyo tunapendelea kumzuia mtu mara moja kwa wiki, miezi au milele ukionekana unaleta uharabu kwa kusudimakusudi.
 
Kama umebanwa lakini una sababu za kujitetea basi, lete kwahoja katika ukurasa wa jumuiya au kwakatika ukurasa wa mkabidhi fulani.
 
'''Uharabu ukigunduliwa ufutwe.'''
{{mbegu}}
 
[[Category:wikipedia]]
{{mbegu}}