Lugha za Kihindi-Kiulaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
[[Picha:IE3500BP.png|thumb|232px|right|Uenezaji katikati ya [[milenia ya 2 KK]]]]
[[Picha:IE2500BP.png|thumb|232px|right|Uenezaji takriban mwaka [[250 KK]]]]
'''Lugha za Kihindi-Kiulaya''' ni [[jamii]] kubwa zaidi ya [[lugha]] zote [[duniani]]. Kuna wasemaji [[bilioni]] 2.5 katika [[Bara|mabara]] yote.
 
Uenezi huo umetokana hasa na [[historia]] ya [[ukoloni]] wa [[Wazungu|Kizungu]] uliopeleka lugha za [[Ulaya]] pande zote za [[dunia]].
[[Picha:IndoEuropeanTree.svg|thumb|300px|Lugha za Kihindi-Kiulaya]]
== Jina la Kihindi-Kiulaya ==
Mstari 38:
 
* [[Lugha za Kiitalia]]
** [[Lugha za Kirumi]] ''(k.m. [[Kilatini]] †, [[Kiitalia]], [[Kifaransa]], [[Kihispania]], [[Kireno]], [[Kiromania]])''
** [[Lugha za Kiumbria]] †