Dinosauri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 41:
Baada ya wakati wa miaka milioni 66 iliyopita hakuna visukuku vya dinosauri tena. Isipokuwa ilitambuliwa kuwa [[ndege|ndege wa siku hizi]] ni viumbe vya nasaba moja na dinosauri. Hapa wataalamu hukubaliana kuwa kulikuwa na mabadiliko yaliyosababisha kufa kwa dinosauri karibu wote kote duniani katika muda mfupi<ref>[https://pubs.geoscienceworld.org/sgf/bsgf/article-abstract/183/6/547/314033/paleobiogeography-and-biodiversity-of-late?redirectedFrom=fulltext Paleobiogeography and biodiversity of Late Maastrichtian dinosaurs: how many dinosaur species went extinct at the Cretaceous-Tertiary boundary?], makala kwenye geoscienceworld.org ya December 01, 2012</ref>.
 
Wataalamu walishangaa muda mrefu kuhusu sababu zinazoweza kutajwa kwa kutoweka kwa ghafla kwa dinosauri. Siku hizi wengi wanakubaliana kuwa kupigwa kwa Dunia na [[asteroidi|asteroidi kubwa]] (pale [[Kasoko ya Chicxulub|Chixculub, Meksiko]]), pamoja na kuleta [[volkeno|milipuko ya volkeno]] iliyosababishwa na mshtuko huu, kulileta mabadiliko ya ghafla ya [[Tabianchi|tabianchi]] na hasa kupoa kwa halijoto kote duniani yaliyosababisha kufa kwa viumbe wengi pamoja na dinosauri wote wakubwa<ref>[https://agupubs.onlinelibrary.wiley.com/doi/full/10.1002/2016GL072241 Baby, it's cold outside: Climate model simulations of the effects of the asteroid impact at the end of the Cretaceous], makala ya Geophysical Research Letters, tovuti ya AGU100 (Advancing Earth and Space Science) ya 20 December 2016</ref>. Mababu ya ndege pekee waliokuwa dinosauri wadogo waliweza kuendelea.
 
== Picha ==