Maafa asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Maafa asilia''' ni tukiomatukio linalosababishamanalosababisha mabadiliko kwenye uso wa [[ardhi]] au [[angahewa]] ya [[dunia]] yanayoleta hasara kubwa kwa [[mali]] na [[maisha]] ya [[binadamu]], na sababu zake ni za kiasili. Mifano yake ni [[tetemeko la ardhi]], [[banguko]], [[kimbunga]], [[mafuriko]], [[tsunami]] au, [[mlipuko wa volkeno]] au [[pigo la asteroidi]]. Matukio hayo yote si lazima yawe maafa kwa lazima maana yakitokea mahali pasipo na wanadamu na kutosababisha hasara kwa watu basi hayaitwi "maafa".
 
==Maafa ya asili na maafa yaliyosababishwa na binadamu==
Mstari 56:
 
==Pigo la asteroidi==
Dunia yetu inatembeainazunguka Jua letu katika [[anga-nje]] ikizunguka Jua letu. Hapa inakutana mara kwa mara na [[violwa ]] vinavyoanguka kwenye [[angahewa]] na kuonekana kama [[vimondo]]. Vingi ni vidogo, hivyo havileti hasara.
 
Lakini kamakiolwa nikinachogonga kiolwaDunia kikiwa kikubwa kama [[asteroidi]] kinachogonga Dunia hatari ni kubwa. Migongano hii hiyo hutokea mara chache sana lakini [[sayansi]] imetambua ya kwamba [[Kasoko ya Chicxulub|pigo la asteroidi kubwa miaka milioni 66 iliyopita]] lilisababisha kuangamizwakuangamia kwa [[spishi]] nyingi, zikiwa pamoja na [[dinosauri]]. Pigo hilihilo lilirusha kiasi kikubwa cha [[vumbi]] kwenye angahewa pamoja na kusababisha milipuko ya volkeno nyingi na kuleta mabadiliko ya [[tabianchi]] kwa miaka kadhaa, hivyo kushusha [[halijoto]] duniani na kusababisha [[giza]] kwa muda mrefu.
 
Katika karne iliyopita kulikuwa na matukio mawili yaliyoonyesha nguvu haribifu ya violwa kutoka anga-nje:
*mwaka [[1908]] kimondo kikubwa au asteroidi ndogo iligonga eneo la [[Tunguska]] huko [[Urusi]] na kuangamiza [[kilomita za mraba]] 2,000 za [[misitu]], Kwa bahati nzuri wakati ule hapakuwa na watu katika eneo la Tunguska.
* Mwaka [[2013]] kimondo kilichokadiriwa kuwa na [[kipenyo]] cha [[mita]] 17 pekee kilisababisha uharibifu kwa kulipuka juu ya [[mji]] wa [[Chelyabinsk]] nchini Urusi. Watu 1,500 walijeruhiwa, hasa na kioo[[Kioo|vioo]] chavya [[Dirisha|madirisha]] kilichopasukavilivyopasuka kote mjini wakati wa mlipuko. [[Nyumba]] nyingi ziliathiriwa.
 
Kutambuliwa kwa hatari hii imesababisha [[mataifa]] mbalimbali kushirikiana katika mipango ya kutambua mapema [[Kiolwa cha kukaribia dunia|violwa vinavyokaribia Dunia]].
 
==Marejeo==