Maafa asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 31:
 
==[[Mafuriko]]==
[[Picha:Mafuriko ya Tazara, Dar es Salaam.jpg|thumb|Mafuriko katika eneo la [[TAZARA]], [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]].]]
[[Picha:Mafuriko 2.jpg|thumb|Mafuriko huko Jangwani [[Jiji|jijini]] [[Dar es Salaam]].]]
Mafuriko ni hali ya kuwa na [[maji]] mengi yanayofunika [[nchi kavu]] isiyo na maji kwa kawaida.
 
Mafuriko yanaweza kutokea
* popote baada ya [[mvua]] kali inayoteremsha maji mengi yasiyo na njia ya kupotea, hasa baada ya kutelemka penye [[mlima]] au [[mtelemko]]
* kando ya [[mto]] ama baada ya mvua kali au wakati wa mvua nyingi au kwenye [[majira]] ya kuyeyuka kwa [[theluji]]
* kando ya [[ziwa]] au [[bahari]] kama [[upepo]] mkali unasukuma maji kuelekea [[pwani]], hasa pamoja na kutokea kwa [[maji kujaa]] au [[bamvua]]
 
Mafuriko mara nyingi ni [[hatari]] kwa [[binadamu]], huleta hatari kwa [[uhai]], [[mali]] na [[nyumba]].
 
Njia za kujiokoa ni pamoja na kuhama haraka sehemu za [[bonde|mabondeni]] kwenda penye miinuko au nchi ya juu zaidi. Watu waliozoea mafuriko wana [[mbinu]] za pekee kama vile kujenga vizuizi vya maji kupanda juu, kuchimba [[mifereji]] inayopeleka maji mbali au kujenga nyumba juu ya [[vilima]] wakijua hakuna njia ya kuzuia mafuriko.
 
==[[Tsunami]]==