Tofauti kati ya marekesbisho "Kasoko ya dharuba"

1,165 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Kutokea kwa Kasoko.png|thumb|250px|Kutokea kwa kasoko ya dharuba]]
{| class="infobox" style="width: 295px;"
|-
|
{| cellpadding=0 cellspacing=2 style="background-color: white;"
|-
| rowspan=2 | [[File:Iapetus as seen by the Cassini probe - 20071008.jpg|157px|Kasoko ya ''Engelier'' huko Iapetus (mwezi wa [[Zohali]])]] || [[File:Fresh impact crater HiRise 2013.jpg|143px|Kasoko mpya kwenye [[Mirihi]] ionyeshayo mistari ambako mata ilitupwa wakati wa dharuba]]
|-
| rowspan=2 | [[File:Tycho crater on the Moon.jpg|143px|Kasoko ya Tycho kwenye Mwezi]]
|-
| [[File:Barringer Crater aerial photo by USGS.jpg|157px|Kasoko ya Barringer ("Meteor Crater") huko Flagstaff, Arizona, Marekani]]
|}
|-
|'''Kasoko za dharuba katika Mfumo wa Jua'''
* Juu-kushoto: Kasoko ya ''Engelier'' huko Iapetus (mwezi wa [[Zohali]] ina kipenyo cha [[km]] 500
* Juu-kulia: asoko mpya kwenye [[Mirihi]] ionyeshayo mistari ambako mata ilitupwa wakati wa dharuba<ref>[https://arstechnica.com/science/2014/02/spectacular-new-martian-impact-crater-spotted-from-orbit/ Spectacular new Martian impact crater spotted from orbit], [[Ars Technica]], 6 February 2014.</ref>
* Chini-kushoto: Kasoko ya Barringer ("Meteor Crater") huko Flagstaff, Arizona, Marekani ina umri wa miaka 50,000
* Chini-kulia: Kasoko ya Tycho kwenye Mwezi
|}
[[Picha:Impact movie.ogv|250px|thumb|Kutokea kwa kasoko kutokana na dharuba (filamu ya maabara ya NASA)]]
'''Kasoko ya dharuba''' (kwa [[Kiingereza]] ''impact crater'') ni [[tundu]] kwenye [[ardhi]] linalotokana na mshtuko wa kugongwa na [[gimba]]. [[Kasoko]] ina [[umbo]] la [[duara]]; katikati ni kama [[shimo]] na ukingo wake unainuka juu ya uwiano wa [[mazingira]] yake. [[Duniani]] kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na [[Mlipuko wa volkeno|milipuko]] ya [[volkeno]] au milipuko mingine.