Tofauti kati ya marekesbisho "Kasoko ya Chicxulub"

no edit summary
d (Protected "Kasoko ya Chicxulub" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho)))
 
[[File:Chicxulub-Anomaly.jpg|thumb|right|250px|Ramani ya tofauti za graviti katika eneo la Chicxulub. Mstari mweupe unaonyesha pwani la bahari. Mistari za duara zinaonyesha mipaka ya kasoko iliyofichwa chini ya ardhi na chini ya bahari.]]
 
'''Kasoko ya Chicxulub''' (tamka ''chik-shulub'') ni [[kasoko]] kubwa kwenye [[pwani]] laya [[rasi ya Yucatan]] ([[Meksiko]]) iliyosababishwa na pigo la [[asteroidi]] miaka [[milioni]] 66 iliyopita. Inaaminiwa ya kwamba tukio hilihilo lilisababisha kuangamizwakuangamia kwa [[dinosauri]] pamoja na [[spishi nyingi]] nyingine nyingi [[Duniani]].
 
Kasoko hii ina [[kipenyo]] cha zaidi ya [[km]] 180, hivyo ni kasoko kubwa ya [[tatu]] duniani iliyosababishwa na pigo la [[asteroidi]] (''[[:en:impact crater]]'') <ref>Earth Impact Data Base: [http://www.unb.ca/passc/ImpactDatabase/#ImpactCraterCriteria]</ref> Asteroidi iliyopigailiyogonga hapahuko ilikuwa na kipenyo cha angalau [[km]] 10. Pigo hilihilo lilisababisha [[tsunami]], kuwaka kwa [[moto]] katika sehemu nyingi za Dunia, mitetemeko[[matetemeko ya ardhi]] na kulipuka kwa [[volkeno]] nyingi. Kutokana na [[vumbi]] na [[majivu]] yaliyorushwa [[Anga|angani]] [[nuru]] ya [[jua]] ilizuiliwa na hivyo kilitokea kipindi kirefu cha [[giza]] na [[baridi]] kali kote duniani.<ref>[http://onlinelibrary.wiley.com/doi/10.1002/2016GL072241/abstract;jsessionid=C3074C74DFCBBF47EBB1C091F1CEFEF6.f03t03?systemMessage=Wiley+Online+Library+%27Journal+Subscribe+%2F+Renew%27+page+will+be+down+on+Wednesday+05th+July+starting+at+08.00+EDT+%2F+13.00+BST+%2F+17.30+IST+for+up+to+75+minutes+due+to+essential+maintenance Climate model simulations of the effects of the asteroid impact at the end of the Cretaceous], Brugger, J., G. Feulner, and S. Petri (2017), Baby, it's cold outside: Climate model simulations of the effects of the asteroid impact at the end of the Cretaceous, Geophys. Res. Lett., 44, 419–427, doi:10.1002/2016GL072241.</ref>
 
Kasoko haionekani tena kwa [[macho]] au kutoka [[Ndege (uanahewa)|ndege]] maana [[mmomonyoko]] kwenye uso wa ardhi umeshasawazisha [[milima]] na kufunikakufukia shimo. Lakini [[vipimo]] inaonyeshavinaonyesha mabadiliko katika [[miamba]] ya eneo hilihilo na mabadiliko katika [[uga]] wa [[graviti]] ya eneo hili yanayotokana na [[densiti]] kubwa ya miamba pale ambako pigo lilikandamiza mwamba. [[Umri]] wa mwamba ulipimiwaulipimwa na kukadiriwa kuwa takriban miaka milioni 65 - 66. Umri huuhuo unalingana na kupotea ghafla kwa spishi nyingi kote duniani jinsi inavyoonekana katika mabaki ya [[kisukuku]].<ref name=Schulte>{{cite journal|last=Schulte|first=Peter ''et al.''|coauthors=|date=5 March 2010|title=The Chicxulub Asteroid Impact and Mass Extinction at the Cretaceous-Paleogene Boundary|journal=Science|publisher=AAAS|volume=327|issue=5970|pages=1214–1218|issn=1095-9203 |url=http://www.sciencemag.org/cgi/content/abstract/327/5970/1214|accessdate=5 March 2010|doi=10.1126/science.1177265|pmid=20203042}}
</ref><ref name=Rincon>*{{cite news|author=Rincon, Paul|date=2010-03-04|url=http://news.bbc.co.uk/2/hi/science/nature/8550504.stm|title=Dinosaur extinction link to crater confirmed|work=[[BBC]]|accessdate=2010-03-05}}
</ref>