Kasoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
Mwaka 2006 [[wataalamu]] waligundua kasoko kubwa zaidi yenye [[kipenyo]] cha km 500 huko [[Antarktika]] katika [[picha]] zilizopigwa kutoka angani. Iko chini ya [[barafu]] ya Antarktika katika eneo la [[Wilkes Land]] inatajwa kwa [[kifupi]] cha WLIC (ing.: Wilkes Land impact crater). Kasoko ya WLIC inaaminiwa imesababishwa na [[asteroidi]] yenye kipenyo cha takriban km 5.
 
Kasoko ya tatu kwa ukubwa ni [[Kasoko ya Chicxulub|kasoko ya Chicxulub]], [[Yucatán (jimbo)|Yucatan]], [[Meksiko]].
==Picha==
<gallery>