Kasoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
* [[kasoko ya mlipuko]], kwa mfano wa [[bomu]] lililolipuka ndani ya ardhi au juu ya uso wa ardhi
* [[kasoko ya dharuba]] (mgongano) kutokana na kugongwa kwa uso la gimba na gimba nyingine, kwa mfano kama Dunia, sayari nyingine au Mwezi imegongwa na [[meteoridi]] au [[asteroidi]]
* [[kasoko ya volkeno]]: shimo ambako [[zaha (lava)]] inatoka nje au iliwahi kutoka nje
 
Kasoko kubwa zaidi duniani zilisababishwa na [[asteroidi]] zilizogonga Dunia yetu. Kasoko kubwa iliyojulikana hadi [[mwaka]] [[2006]] ilikuwa kasoko ya [[Vredefort]] nchini ([[Afrika Kusini]]) yenye umbo la [[yai]] la [[urefu]] wa [[km]] 320 na [[upana]] wa km 180.