Tofauti kati ya marekesbisho "Kamari"

45 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
| isbn = 0-87973-877-4}}</ref><ref>[http://www.palgrave.com/page/detail/blaise-pascal-donald-adamson/?K=9780333550366| ''Blaise Pascal: Mathematician, Physicist and Thinker about God'', [[Donald Adamson]] (1995)]</ref><ref>[http://www.iagr.org/members/ International Association of Gaming Regulators: Members]</ref>
 
[[Tatizo]] mojawapo kubwa ni kwamba wanaoshiriki michezo hiyo wanahitaji au kutamani sana [[utajiri]], hivyo wakishindwa wanaweza kushawishika kucheza tena na tena hadi kufilisika. Baadhi ya wachezaji wa michezo hii hufikia hata kupata matatizo yaau [[ugonjwa wa akili]]. Kuna [[tiba]] za aina mbalimbali za kuwasaidia watu wanaoshindwa kuwa na uamuzi wa kuacha michezo hii kutokana na [[uraibu]].
 
Michezo ya kamari imekuwa [[biashara]] kubwa kimataifa, ikiwa na [[bajeti]] ya [[Dola za Marekani|dola]] [[bilioni]] 335 [[mwaka]] [[2009]].<ref>{{cite news| url=http://www.economist.com/node/16539402 | work=The Economist | title=You bet | date=8 July 2010}}</ref> Umaarufu wa michezo kama vile soka na teknolojia mpya imefanya michezo hii kupata umaarufu wa kasi kubwa duniani.<ref>[https://newonlinecasinoscanada.com/casino-software/playtech/ Programu ya Playtech]</ref>
 
==Tanbihi==
{{Reflist|33em}}
*[https://www.betwithus.com.au/live-betting/ Mfano wa aina mpya za kamari (Australia)]]
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Category:Michezo| ]]