Kimbunga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 19:
Huko [[Amerika]] ni hasa [[visiwa vya Karibi]] na nchi jirani za [[Ghuba ya Meksiko]] pamoja na kusini mwa [[Marekani]] zinazoathiriwa kila [[mwaka]].
 
Barani [[Afrika]] ndiyo [[Msumbiji]] pamoja na nchi jirani iliyoona mara kwa mara uharibifu kutokana na dhoruba. Mwaka [[2019]] kimbunga kilichoitwa Idai<ref>[https://www.bbc.com/swahili/habari-47578953 Kimbunga Idai: Msumbiji katika hatari kimbunga kingine kikali kikitua], tovuti ya BBC-Kiswahili tar 15-ß3-2ß19</ref> kiliharibu [[Beira (Msumbiji)|mji mkubwa wa Beira]] na kusababisha [[Kifo|vifo]] hadi [[Zimbabwe]] na [[Malawi]]<ref>[https://www.bbc.com/swahili/habari-47621240 Kimbunga Idai: Serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe], tovuti ya BBC Kiswahili, 19-03-2019</ref>. Kimbunga hiki kilifuatwa na kimbunga kilichoitwa "Kenneth" kilichosababisha [[Maafa asilia|maafa]] kwenye [[visiwa]] vya [[Komori]] na kufika [[Bara|barani]] katika [[kaskazini]] yamwa Msumbiji karibu na [[Pemba (Msumbiji)|mji wa Pemba]] na kuathiri pia kusinimaeneo ya [[kusini]] mwa [[Tanzania]]<ref>[http://meteo.go.tz/uploads/files/TAARIFA%20YA%20UWEPO%20WA%20MGANDAMIZO%20MDOGO%20WA%20HEWA%20KASKAZINI%20MWA%20KISIWA%20CHA%20MADAGASCA_24_4_2019-1.pdf Taarifa kwa umma kuhusu Kimbunga Kenneth], tovuti ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, iliangaliwa 25-Aprili-2019</ref>.
 
== Majina ya Vimbunga ==