Berbera : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
== Mawasiliano na bandari ==
Kuna [[kiwanja cha ndege]] na [[barabara]] za kuunganisha mji na [[HargeysaHargeisa]] na [[Burao]].
 
[[Biashara]] ya bandari ilikuwa hasa ya [[kondoo]], [[uvumba]] na [[mazao]] mengine ya Somaliland. [[Ethiopia]] imeanza kutumia bandari kwa biashara yake ya nje baada ya kutokea kwa mafarakano kati ya Ethiopia na [[Eritrea]]. Biashara ya Ethiopia inaleta mapato makubwa zaidi kwa bandari.
Mstari 11:
 
== Historia ==
Habari za kwanza za mji nizimo katika [[Periplus ya Bahari ya Eritrea]], [[kitabu]] kilichoandikwa mnamo [[200]] [[BK]]. Wakati ule mji uliitwa "Malao".
Historia yake ilifuata historia ya pwani kwa jumla; mara watawala wa kienyeji walikuwa na madola yao madogo, mara majirani makubwa yaliingia.
 
Historia yake ilifuata historia ya [[pwani]] kwa jumla; mara watawala wa kienyejiwenyeji walikuwa na madola yao madogo, mara majirani makubwa yaliingia.
Tangu 1546 [[Dola la Osmani]] lilivamia eneo lote na kumpeleka [[wali]] wake Berbera. Wakati wa udhaifu wa [[Waturuki]] athira hii ilipotea tena. Baada ya vita ya Mahdi katika [[Sudani]] Waosmani walipaswa kuondoa wanajeshi wao tena na [[Uingereza|Waingereza]] waliingia wakaitawala Berbera kama sehemu ya [[eneo lindwa]] la "British Somaliland Protectorate" au [[Somalia ya Kiingereza]].
 
Tangu mwaka [[1546]] [[Dola la Osmani]] lilivamia eneo lote na kumpeleka [[wali]] wake Berbera. Wakati wa udhaifu wa [[Waturuki]] athira hii ilipotea tena. Baada ya [[vita]] yavya [[Mahdi]] katika [[Sudani]] Waosmani walipaswa kuondoa [[wanajeshi]] wao tena na [[Uingereza|Waingereza]] waliingia wakaitawala Berbera kama sehemu ya [[eneo lindwa]] la "British Somaliland Protectorate" au [[Somalia ya Kiingereza]].
Berbera ilikuwa bandari kuu ya Waingereza na pia makao makuu ya serikali yao wakati wa miezi isiyo na joto mno.
 
Berbera ilikuwa bandari kuu ya Waingereza na pia [[makao makuu]] ya [[serikali]] yao wakati wa miezi isiyo na joto mno.
Baada ya uhuru wa Somali bandari ya Berbera ilikuwa na umuhimu fulani katika vita baridi kati ya [[Marekani]] ya [[Umoja wa Kisovyeti]]. Serikali ya Siad Barre 1974 ilifanya mapatano ya ushirikiano na Umoja wa Kisovyeti na manowari wa Kisovyeti zilipewa nafasi katika Berbera ikawa kituo cha kijeshi cha Kisovyeti. Ushirikiano huu ulifarakana tangu 1977 kwa sababu ya vita kati ya Somalia na Ethiopia na Wasovyeti walichagua kusimama upande wa Ethiopia. Barre alitafuta msaada wa Marekani na tangu 1981 Berbera ikawa kituo cha kijeshi cha Marekani.
 
Baada ya [[uhuru]] wa SomaliSomalia bandari ya Berbera ilikuwa na umuhimu fulani katika [[vita baridi]] kati ya [[Marekani]] yana [[Umoja wa Kisovyeti]]. Serikali ya [[Siad Barre]] mwaka [[1974]] ilifanya mapatano ya ushirikiano na Umoja wa Kisovyeti na [[manowari]] waza Kisovyeti zilipewa nafasi katika Berbera ikawa kituo cha kijeshi cha Kisovyeti. Ushirikiano huuhuo ulifarakana tangu mwaka [[1977]] kwa sababu ya vita kati ya Somalia na Ethiopia na Wasovyeti walichagua kusimama upande wa Ethiopia. Barre alitafuta msaada wa Marekani na tangu [[1981]] Berbera ikawa kituo cha kijeshi cha Marekani.
 
==Tazama pia==