Madhabahu (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Madhabahu Ara.png|thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Madhabahu (Ara) katika sehemu yao ya angani]]
'''Madhabahu''' ('''[[:en:Ara|Ara]]''' kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]]) <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Ara" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Arae" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Arae, nk.</ref>. ni [[jina]] la [[kundinyota]] kwenye [[nusutufe ya kusiniangakusi]] ya [[duniaDunia]] yetu.
 
==Mahali pake==
Madhabahu iko jirani na kundinyota la [[AkarabuNge (kundinyota)|Nge]] (pia '''Akarabu''', [[lat.]] ''([[:en:Scorpius|Scorpius]])'' na [[Pembetatu ya Kusini (kundinyota)| Pembetatu ya Kusini ]] (''[[:en: Triangulum Australe|Triangulum Australe]]''). [[Njia Nyeupe]] inapita katika sehemu ya Madhabahu.
==Jina==
Madhabahu ni kati ya kundinyota zilizotajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Iko pia katika orodha ya makundinyota 88 ya Umoja wa Kimataifa wa Astronomia. Jina linatoka katika mitholojia ya [[Ugiriki ya Kale]]<ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> [[Ugiriki ya Kale]] ambako [[Zeus]] alitoa kiapo cha kupambana na majitu wa [[Titani]] mbele ya madhabahu au altare ya kuchomea sadaka.<ref>Allen, Star names and their meanings, uk. 62</ref>
 
==Nyota==
Nyota angavu zaidi ni α Alfa Arae yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa 2.93 [[mag]] ikiwa na umbali kutoka Dunia wa [[miaka ya nuru]] 270 na Beta Arae yenye uangavumwangaza wa 2.85. Kuna nyota 7 zenye [[sayari]]. Mu Arae inayofanana na Jua ina sayari nne na Gliese 676 ambayo ni nyota kibete nyekundu ina sayari nne pia.
 
==Tanbihi==