Tofauti kati ya marekesbisho "Philippus Mwarabu"

65 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
'''Marcus Julius Philippus''' (takriban [[204]] – [[Septemba]] [[249]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola la Roma]] kuanzia [[Februari]] [[244]] hadi [[kifo]] chake. Alipenda [[Ukristo]].
 
Alimfuata [[Gordian III]] akauawa na [[mwandamizi]] wake, [[Gaius Messius Quintus Decius]] ambaye alianza mapema [[dhuluma]] mpya dhidi ya [[Wakristo]].
 
Aliitwa '''Mwarabu''' kwa vile alizaliwa na [[wazazi]] [[Waarabu]] katika jimbo la [[Arabia]] karibu na [[mji]] wa [[Damasko]] ([[Syria]]).
 
 
Alipenda [[Ukristo]].
 
{{Mbegu-Kaizari-Roma}}