Ukahaba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d +Picha |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[picha:Prostitution laws of the world.PNG|thumb|right|350px|Sheria kuhusu ukahaba duniani▼
{{Legend|#008000|Ukahaba unaruhusiwa, kuna utaratibu wa kisheria}}▼
'''Ukahaba''' (kutoka [[Kiarabu]] '''قحبه ''' ''qahabatun'' = malaya) ni tendo la kufanya [[ngono]] nje ya [[ndoa]] au uhusiano unaokubalika katika [[jamii]], tena na watu mbalimbali na kwa [[malipo]]. Watendaji wanaopokea malipo huitwa kahaba au malaya; washiriki wanaotoa malipo huitwa wateja. Kama ukahaba unaendeshwa katika [[nyumba]] maalumu mahali hapo panaitwa [[danguro]].▼
{{Legend|#000080|Ukahaba unaruhusiwa, danguro ni marufuku, hakuna utaratibu wa kisheria}}▼
{{Legend|#FF0000|Ukahaba ni marufuku}}▼
{{Legend|#ababab|hakuna habari juu ya nchi hizi}}</small>]]▼
▲'''Ukahaba''' (kutoka [[Kiarabu]]: '''قحبه ''' ''qahabatun'' = malaya) ni [[tabia]] au tendo la kufanya [[ngono]] nje ya [[ndoa]] au uhusiano unaokubalika katika [[jamii]], tena na [[watu]] mbalimbali na kwa [[malipo]].
Kama ukahaba unaendeshwa katika [[nyumba]] maalumu mahali hapo panaitwa [[danguro]].
== Jinsi na namna ya ukahaba ==
Kimsingi kuna aina [[mbili]] za ukahaba.
# Malaya anajifanyia [[kazi]] na kuamua mwenyewe namna gani. Huyu atapatikana mara nyingi akitembea [[Barabara|barabarani]], kusubiri kwenye [[baa|mabaa]] au kwa kutangaza [[namba]] ya [[simu]]. Wanajitangaza pia kupitia [[intaneti]] na kukutana na wateja mahali mbalimbali.
# Malaya wanafanya kazi chini ya usimamizi wa mtu mwingine au watu wengine. Hali yao inaweza kufanana na aina ya [[ajira]] wakilipwa kwa kila tendo la ngono kutoka msimamizi anayepokea [[fedha]]; au wanatakiwa kutoa malipo kwake kutokana na mapato yao. Kundi hili
== Hali ya kisheria ==
▲[[picha:Prostitution laws of the world.PNG|thumb|right|350px|Sheria kuhusu ukahaba duniani
▲{{Legend|#008000|Ukahaba unaruhusiwa, kuna utaratibu wa kisheria}}
▲{{Legend|#000080|Ukahaba unaruhusiwa, danguro ni marufuku, hakuna utaratibu wa kisheria}}
▲{{Legend|#FF0000|Ukahaba ni marufuku}}
▲{{Legend|#ababab|hakuna habari juu ya nchi hizi}}</small>]]
Misimamo ya jamii na [[sheria]] inatofautiana kati ya nchi na nchi. Hata kama ukahaba unapatikana kote [[duniani]], umepigwa marufuku katika nchi nyingi. Lakini mahali pengi penye sheria dhidi ya ukahaba [[polisi]] inafumba [[macho]] au kutofuatilia [[biashara]] hii.
Line 24 ⟶ 25:
==Afya ya jamii==
Si siri kwamba ukahaba unachangia sana uenezi wa [[maradhi ya zinaa]], ukiwemo [[UKIMWI]].
==Tanbihi==
|