Akihito wa Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d +kiungo cha orodha
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Akihito_cropped_2_Barack_Obama_Emperor_Akihito_and_Empress_Michiko_20140424_1.jpg|thumb|right|Tenno Akihito]]
'''Akihito''' (amezaliwa [[23 Desemba]] [[1933]]) ni mfalme mkuu (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Alimfuata baba yake, [[Hirohito]], tarehe [[7 Januari]] [[1989]]. Bunge la Japani lilibadilisha sheria ili kumruhusu kujiuzulu mwaka 2018 au 2019 kwa ajili ya uzee na afya yake.
 
Hatimaye alijiuzulu tarehe 30 Aprili 2019 akiwa mfalme wa kwanza baada ya miaka 200 aliyechukua hatua hii<ref>[https://edition.cnn.com/2017/11/30/asia/japan-emperor-akihito-abdication-intl/index.html Akihito to become first Japanese Emperor to abdicate in 200 year], tovuti ya CNN ya 1 Deisemba 2017</ref>. Alifuatwa na mwanawe [[Naruhito wa Japani|Naruhito]].
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Angalia pia==