Moto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Large bonfire.jpg|thumb|Moto kubwamkubwa.]]
[[Picha:Pembetatu moto.png|thumb|[[Pembetatu]] ya moto inaonyesha masharti matatu yanayohitajika kwa moto kuwaka.]]
[[Picha:Streichholz.jpg|thumb|150px|Kiberiti kinawaka.]]
'''Moto''' ni hali ya kuchomakuungua haraka kwa [[gimba]] na kutoa [[joto]] pamoja na [[nuru]]. [[Sayansi|Kisayansi]] ni [[mmenyuko]] wa [[Kemia|kikemia]] kati ya [[oksijeni]] ya [[hewa|hewani]] na [[kampaundi]] za [[kaboni]]. Moto ni mfano mkuu wa harakati ya kuoksidisha.
 
'''Moto''' ni hali ya kuchoma haraka kwa [[gimba]] na kutoa [[joto]] pamoja na [[nuru]]. Kisayansi ni [[mmenyuko]] wa kikemia kati ya [[oksijeni]] ya [[hewa|hewani]] na [[kampaundi]] za [[kaboni]]. Moto ni mfano mkuu wa harakati ya kuoksidisha.
 
Katika [[historia]] ya [[binadamu]] matumizi ya moto yalikuwa hatua kubwa ya kujenga [[utamaduni]]. Watu hutumia moto kwa kupika, kujilinda dhidi ya [[baridi]] na [[giza]], kupeana habari, kuendesha [[vyombo vya usafiri]] na kutengeneza [[umeme]].
Line 16 ⟶ 15:
* mmenyuko mfululizo unaoendeleza hali ya kuwaka kwa moto
 
Masharti haya manne huelezwa kwa [[tetrahedroni]] ya moto. Hakuna moto kama masharti hayahayo manne hayapo pamoja.
 
Mmenyuko mfululizo ni lazima kwa kuendelea kwa moto ukihkikisha ya kwamba kuna joto la kutosha kuendeleza moto.
 
Moto inazimika kama moja kati ya masharti manne linaondolewa. Katika mfamo wa moto ya gesi kwenye jiko la kupikia ya gesi moto huu unazimika kwa:
 
* kuzima gesi ambayo inaodoa chanzo cha fueli
* kufunika moto kabisa maana hii inazuia oksijeni kufika motoni; baada ya muda mfupi akiba ya oksijeni iliyo karibu na moto imekwisha na moto inazimika
Line 30 ⟶ 28:
 
=== Matumizi asilia ya moto ===
[[Wataalamu]] wanaamini ya kwamba watu wa kale sana waliona faida ya kutumia moto uliotokea kiasili kutokana na [[radi]] n.k.. Walipokuta [[wanyama]] waliokufa katika moto wa aina hii waliona ya kwamba [[nyama]] iliyochomwa na moto ni [[lishe]] bora kuliko nyama mbichi. Walitambua pia ya kwamba [[mimea]] au sehemu za mimea zilikuwa [[chakula]] bora baada ya kukaa motoni kwa [[muda]] fulani.
 
Kwa hiyo inaaminiwa hao watu wakama hao kwanza walijifunza kubeba moto asilia na kuutunza kwenye makazi yao., Baadaye watubaadaye walijifunza kuwasha moto. Kuwa na moto karibu na makazi au mahali pa kulala kulikuwa namna ya [[ulinzi]] dhidi ya wanyama wakali wanaoogopa moto na hawana [[akili]] ya kubainisha matumizi yake. Moto ulisaidia pia wakati wa kuwinda.
 
==Viungo vya nje==
Line 41 ⟶ 39:
[[Jamii:Kemia| ]]
[[Jamii:Teknolojia]]
[[Jamii:Utamaduni]]