Meza (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image: Mesa Mensa.png |thumb|right|400px|Nyota za kundinyota Mesa (Fornax ) katika sehemu yao ya angani]]
[[Picha:Mensa constellation map.png|thumb|300px|Ramani ya Meza (LMC= Large Magellan Claoud = Wingu Kubwa la Magellan)]]
'''Meza''' (kwa [[Kilatini]] na [[Kiingereza]] ''[[:en: Mensa|Mensa]]'') <ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Mensa " katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Mensae" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Mensae, nk. </ref> ni [[jina]] la [[kundinyota]] ndogo kwenye [[nusutufe ya kusiniangakusi]] ya [[Dunia]] yetu.
 
==Mahali pake==
Mstari 7:
 
==Jina==
Meza ni kati ya makundinyota yaliyoobuniwa katika enzi ya kisasa. Kama ilivyo kwa nyota nyingine zinazoonekana kwenye anga ya kusiniangakusi pekee haikujulikana kwa Wagiriki wa Kale wala kwa Waarabu. Kwa hiyo wataalamu wa Ulaya hawakuwa na habari nazonayo. Kundinyota hili lilielezwa mara ya kwanza na Mfaransa [[Nicolas-Louis de Lacaille]] wakati wa karne ya 18 kwa jina “Montagne de la Table “ Table“ linalomaanisha “Mlima wa Meza“. . Jina la Kifaransa lilitafsiriwa kwa Kilatini na kufupishwa kuwa "Mensa" (Meza). Hapo alitaka kuheshimu mlima aliouangalia kila siku yaani [[Mlima wa Meza]] uliopo leo hii kwenye mji wa [[Cape Town]].
 
Lacaille alikaa miaka miwili kwenye [[Rasi ya Tumaini Jema]] (Afrika Kusini) alipokuwa akitazama nyota za anga ya kusiniangakusi ambazo wakati ule zilianza tu kujulikana kati ya wanaastronomia wa Ulaya. Alipima nyota 10,000 kuzipangaakazipanga katika makundinyota na kutunga majina kwa kundinyotamakundinyota mpyamapya 14<ref>[http://gallica.bnf.fr//ark:/12148/bpt6k35505/f786.vertical Histoire de l'Académie royale des sciences ]; taarifa ya Lacaille katika "Historia ya Akademia ya Kifalme ya sayansi", uk. 589, Tovuti ya Bibliothèque nationale de France (BnF), iliangaliwa Julai 2017</ref>. Jina la Kifaransa lilitafsiriwa kwa [[Kilatini]] na kufupishwa kama "Mensa“(Meza).
 
Meza iko katika makundinyota 88 yaliyooorodheshwa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Mensa. Kifupi chake rasmi kufuatana na [[Ukia]] ni 'Men'.<ref name="pa30_469">{{cite journal | last=Russell | first=Henry Norris | title=The New International Symbols for the Constellations | journal=[[Popular Astronomy (US magazine)|Popular Astronomy]] | volume=30 | pages=469–71 | bibcode=1922PA.....30..469R | year=1922}}</ref>
 
==Nyota==
Nyota za Meza ni chache na dhaifu sana. Hakuna nyota iliyo na mwangaza juu ya [[mag]] 5. Nyota angavu zaidi ni Alpha Mensae yenye [[mwangaza unaoonekana]] wa mag 5.09 ikiwa umbali wa [[miaka ya nurumiakanuru]] 33 kutoka [[Dunia]].<ref>[ http://simbad.u-strasbg.fr/simbad/sim-basic?Ident=alpha+mensae&submit=SIMBAD+search LTT 2490 -- High proper-motion star"] SIMBAD. Centre de Données astronomiques de Strasbourg. Iliangaliwa Septemba 2017. </ref>
 
[[Wingu Kubwa la Magellan]] linapakanilinapakana na nyota za Meza. [[Panji (kundinyota)| Panji]] (Dorado). Kuwepo kwake ilimhamasishakulimhamasisha Lacaille kuchagua jina la « "Mlima wa Meza" » kwa sababu mlima Cape Town huwa na wingu juu yake.
 
==Tanbihi==